• 2
  • 3
  • ELCT Ubungo Lutheran

Usharika wa Ubungo

Kanisa la Usharika wa Ubungo limejengwa kando ya barabara kuu ya Morogoro karibu na kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA na  limepakana na jengo la RUBADA.

Usharika wa Ubungo una umri unaozidi miaka 36 hivyo na ni moja ya Sharika kongwe katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Usharika huu ulianza kama mtaa wa usharika wa Magomeni mwaka 1969 ukiwa na idadi ya Washarika takriban 10.

  1. Ratiba za Ibada
  2. Neno la Wiki
  3. Kalenda ya KKKT
  4. Mafundisho

JUMAPILI: IBADA HIZI ZINAAMBATANA NA IBADA ZA WATOTO

*SAA 1:00 - 4:00 ASUBUHI IBADA YA KWANZA

*SAA 4:00 – 7:00 IBADA YA PILI

JUMATANO: SAA 11:00 JIONI NI BIBLE STUDY

ALHAMISI: SAA 10:00 JIONI MAFUNDISHO YA KIPAIMARA

IJUMAA: SAA 11:00 JIONI MAOMBI

JUMAMOSI:

*SAA 12:00 – 1:30 ASUBUHI - IBADA ZA JUMUIYA

*SAA 2:00 ASUBUHI - MAFUNDISHO YA KIPAIMARA

Zaburi 23

1. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. 2. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

Kalenda ya KKKT ya Mwaka 2013:

1. Haya ni Masomo ya Biblia kwa Siku Zote za Mwaka.
2. Pia Kuna rangi husika za kila Jumapili

Kuipata Kalenda Hii Bonyeza Hapa na itafunguka kama PDF.

Sikiliza Mahubiri

Tovuti Muhimu

  • www.mwakasege.org
  • www.elct.org
  • www.tanzania.go.tz

Gazeti la Upendo

Gazeti lenye Taarifa, mafundisho na taratibu za maisha ya Mkristo, Pata nakala yako sasa.

Bonyeza hapa Kusoma Gazeti Hili

Changizo | Contribution

Changizo Mbalimbali kuchangia huduma, Ujenzi na Mambo Mengineyo.

Jaza Fomu ya Kuchangia +

sjutta Turne sjutta